TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Reiko Aylesworth

The Typologically Different Question Answering Dataset

 Reiko Aylesworth (amezaliwa tar. 9 Desemba 1972 mjini  Evanston, Illinois)[1][2] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama  Michelle Dessler.

Je,Reiko Aylesworth alizaliwa lini?

  • Ground Truth Answers: 9 Desemba 19729 Desemba 19729 Desemba 1972

  • Prediction: